Noble Quran » Swahili » Sorah As-Sharh ( The Opening Forth)

Choose the reader


Swahili

Sorah As-Sharh ( The Opening Forth) - Verses Number 8
أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ ( 1 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 1
Hatukukunjulia kifua chako?
وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ ( 2 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 2
Na tukakuondolea mzigo wako,
الَّذِي أَنقَضَ ظَهْرَكَ ( 3 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 3
Ulio vunja mgongo wako?
وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ ( 4 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 4
Na tukakunyanyulia utajo wako?
فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا ( 5 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 5
Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,
إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا ( 6 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 6
Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
فَإِذَا فَرَغْتَ فَانصَبْ ( 7 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 7
Na ukipata faragha, fanya juhudi.
وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَارْغَب ( 8 ) As-Sharh ( The Opening Forth) - Ayaa 8
Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie.

Random Books

Choose language

Choose Sorah

Random Books

Choose tafseer

Participate

Bookmark and Share