Noble Quran » Swahili » Sorah At-Tariq ( The Night-Comer )

Choose the reader


Swahili

Sorah At-Tariq ( The Night-Comer ) - Verses Number 17
وَالسَّمَاءِ وَالطَّارِقِ ( 1 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 1
Naapa kwa mbingu na Kinacho kuja usiku!
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الطَّارِقُ ( 2 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 2
Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku?
النَّجْمُ الثَّاقِبُ ( 3 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 3
Ni Nyota yenye mwanga mkali.
إِن كُلُّ نَفْسٍ لَّمَّا عَلَيْهَا حَافِظٌ ( 4 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 4
Hapana nafsi ila inayo mwangalizi.
فَلْيَنظُرِ الْإِنسَانُ مِمَّ خُلِقَ ( 5 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 5
Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
خُلِقَ مِن مَّاءٍ دَافِقٍ ( 6 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
يَخْرُجُ مِن بَيْنِ الصُّلْبِ وَالتَّرَائِبِ ( 7 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
إِنَّهُ عَلَىٰ رَجْعِهِ لَقَادِرٌ ( 8 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 8
Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha.
يَوْمَ تُبْلَى السَّرَائِرُ ( 9 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 9
Siku zitakapo dhihirishwa siri.
فَمَا لَهُ مِن قُوَّةٍ وَلَا نَاصِرٍ ( 10 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 10
Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi.
وَالسَّمَاءِ ذَاتِ الرَّجْعِ ( 11 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 11
Naapa kwa mbingu yenye marejeo!
وَالْأَرْضِ ذَاتِ الصَّدْعِ ( 12 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 12
Na kwa ardhi inayo pasuka!
إِنَّهُ لَقَوْلٌ فَصْلٌ ( 13 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 13
Hakika hii ni kauli ya kupambanua.
وَمَا هُوَ بِالْهَزْلِ ( 14 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 14
Wala si mzaha.
إِنَّهُمْ يَكِيدُونَ كَيْدًا ( 15 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 15
Hakika wao wanapanga mpango.
وَأَكِيدُ كَيْدًا ( 16 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 16
Na Mimi napanga mpango.
فَمَهِّلِ الْكَافِرِينَ أَمْهِلْهُمْ رُوَيْدًا ( 17 ) At-Tariq ( The Night-Comer ) - Ayaa 17
Basi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole.

Random Books

Choose language

Choose Sorah

Random Books

Choose tafseer

Participate

Bookmark and Share