Noble Quran » Swahili » Sorah Al-'adiyat ( Those That Run )

Choose the reader


Swahili

Sorah Al-'adiyat ( Those That Run ) - Verses Number 11
وَالْعَادِيَاتِ ضَبْحًا ( 1 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 1
Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua,
فَالْمُورِيَاتِ قَدْحًا ( 2 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 2
Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini,
فَالْمُغِيرَاتِ صُبْحًا ( 3 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 3
Wakishambulia wakati wa asubuhi,
فَأَثَرْنَ بِهِ نَقْعًا ( 4 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 4
Huku wakitimua vumbi,
فَوَسَطْنَ بِهِ جَمْعًا ( 5 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 5
Na wakijitoma kati ya kundi,
إِنَّ الْإِنسَانَ لِرَبِّهِ لَكَنُودٌ ( 6 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 6
Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!
وَإِنَّهُ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ ( 7 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 7
Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!
وَإِنَّهُ لِحُبِّ الْخَيْرِ لَشَدِيدٌ ( 8 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 8
Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!
أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِي الْقُبُورِ ( 9 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 9
Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini?
وَحُصِّلَ مَا فِي الصُّدُورِ ( 10 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 10
Na yakakusanywa yaliomo vifuani?
إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّخَبِيرٌ ( 11 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Ayaa 11
Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!

Random Books

Choose language

Choose Sorah

Random Books

Choose tafseer

Participate

Bookmark and Share